MAMA wa mtoto aliyeibwa kabla hajatimiza mwezi tangu azaliwe, Fatuma Bakari ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi mtoto huyo alivyoibwa na mshtakiwa Neema Patrick.
Shahidi huyo na mwingine walitoa ushahidi wao jana mbele...
Kortini kwa Kumpa Mwanafunzi Mimba

MKAZI wa Mpiji Magoe Hamis Mohameid (21), amefikishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam akikabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi (14)Jina limehifadhiwa na kumpa mimba.
Akisomewa mashtaka mawili...
Sita wafa katika ajali, 45 wajeruhiwa Singida

WATU sita wamekufa na wengine 45 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea juzi na jana mkoani Singida.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka alisema mjini hapa jana kuwa ajali ya kwanza ilitokea...
Naombeni ushauri...Mjomba kaingia chumbani Kwangu Akanikuta Navaa Nguo sasa Anataka. Nifanyaje, ameniambia nikikataa atanifukuza?

Baba mdogo wangu ananitaka kimapenzi, alikuja gafla chumbani kwangu na kuingia bila kupiga hodi kuniambia kwamba mama amezimia gafla kutokana na ugonja wa kifafa unaomsumbua.
Bahati mbaya wakati anaingia chumbani kwangu gafla alinikuta...
Lulu Atoboa Sababu ya Kutofanya ‘Movie’kwa Mwaka Mzima
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael,’Lulu’amefunguka sababu ya kutofanya filamu kwa mwaka mzima kuwa alikuwa bize na shughuli zingine ikiwemo masomo.
Akizungumza na Clouds Fm,alisema kuwa mwaka jana wote alikuwa ‘host’ kwenye mashindano...
Lowassa Azidi Kuvunja Rekodi.......Msafara Wake Waingia Tabora Kwa Kishindo, Apata Wadhamini 9516

Waziri Mkuu wa Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na WanaCCM waliofika kumdhani pamoja na wananchi wa Mji wa Tabora, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015.
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,...