DAIAMONDA KATUMIWA VIDEO YA NUSU UCHI NA MREMBO WA KENYA AKIMTAKA AMCHUKUE YEYE BILA MALIPO


Unaukumbuka Wimbo wa Diamond Platnumz alioimba “Ntampata wapi ??””…Unaambiwa mabinti kibao wameanza kujigonga kwake kutokana na wimbo huo.

Mrembo na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23 toka nchini Kenya amemtaka Diamond aende nchini Kenya kumchukua tena bila malipo yoyote….


Tiara amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka Diamond Platnumz. Kama ni Sura ya mtaratibu , Macho ya Aibu na umbo Mahabibu anavyoooo…!!!!!

Angalia Video hapo chini ujionee Mambo Matamu aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..Zari Upo ? Ongeza Utundu mama.

Tazama Video hapo chini:


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright VIJIMAMBOZI Published.. Blogger Templates
Back To Top