NIMEKUTANA NA DEMU AMEVAA VIKUKU MIGUUNI....INAASHIRIA NINI??

 
Wadau hapa niko na msela wangu out na mrembo mmoja waliokutana facebook miezi miwili hivi imepita leo ndio tumeonana live tupo chobingo moja hivi siri yangu tunapata moja moja, kaja amenivalia kimini na chini amevaa vikuku ama vicheni miguu yote miwili ...eti huwa zina ashiria au kumanisha nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo antoa kotekote, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright VIJIMAMBOZI Published.. Blogger Templates
Back To Top