Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeju yangu nyumbani kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.
Mara oo we shemeji mzuri,mara jana niliota niko na wewe....mara .eh....jamani nifanyeje? naombeni ushauri wenu.
Post a Comment