ANGALIA KIVAZI CHA RIHANNA KATIKA POZI

 

 

Huyu dada bana yaani haishiwi vituko kila kukicha, hivi nikimfananisha na msanii Lulu nitakuwa nakosea? Naona kama wanaendana swaga hivi kwani naye haishiwi vituko kila kukicha. 
Eti huu ndo mtoko wake wa club, hebu ngalia picha zake zaidi hapa chini.




Wacha wee....hebu mwone huyu mtoto.



Ayaaaa.... laana kabisa. Ni shida eti...looh!


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright VIJIMAMBOZI Published.. Blogger Templates
Back To Top