KUWA NA MSICHANA MKALI YATAKA MOYO...SOMA UJUMBE HUU TOKA KWA HUYU MDADA.

 

NIMEKUTANA NA HII STORY MTANDAONI TOKA KWA WALL YA MDADA MMOJA MURUA MATATA NIKAONA NISIWE MCHOYO NISHEE NAWE MDAU...! Sasa leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume. Mwanamke mzuri anahitaji pesa jamani, usitegemee utampata mwanamke mzuri kwa sasa hivi kama hauna mkwanja mrefu,hilo sahau kabisa. 

Vinginevyo utaishia kuwaita mashemeji tu kwa hiyo wakati ukimtamani mdada mrembo ujue hadi unamuona mrembo ni pesa hizo. Unakuta mkaka unawasiliana nae wiki nzima,unamjib text,akipiga unaongea nae fresh haha unashindwa kutuma tigo pesa hata elfu 30 useme jiunge bando? 

Wallah mie nasemaje kama huna pesa au hujui kutunza usinisumbue kabisa coz hatutoendana unataka meeting na mie hutumi hata laki 1 ya saloon licha ya mafuta ya kukufata inahuuu Badilikeni basi.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright VIJIMAMBOZI Published.. Blogger Templates
Back To Top