Amber Rose akipozi kwa picha.
Amber akijiachia na maswaiba wake huko Miami nchini Marekani.
Amber Rose akiwa ameachia kinguo chake na kuacha…
Amber Rose akipozi kwa picha.
Amber akijiachia na maswaiba wake huko Miami nchini Marekani.
Amber Rose akiwa ameachia kinguo chake na kuacha blazia ikiwa wazi.
Moja ya picha ambazo Amber alitupia akiwa bafuni.
Amber akiendelea kula bata ufukweni.
Amber akipozi na juisi yake.
Amber akiwa na sigara yake mkononi.
Amber na washikaji zake Miami.
MWANAMITINDO Amber Rose ameamua kutupia picha nyingine zinazoonyesha sehemu ya mwili wake katika mtandao wa Instagram.
Amber ametupia picha hizo jana ikiwa ni siku moja tangu aweke picha zeke nyingine zilizokuwa zikionyesha maungo yake akiwa katika vazi la bikini nyeusi.
Amber mwenye miaka 31, mama wa mtoto mmoja, ametupia picha hizo jana zenye unafuu kidogo kuliko za juzi akiwa katika kivazi cha kijani kikionyesha bikini yake ya kijani pia kwa ndani.
Staa huyo alikuwa katika pozi tofauti wakati akijiachia na marafiki zake kwenye hoteli moja jijini Miami nchini Marekani.
Pichani juu ni baadhi ya picha tofauti za Amber Rose alizoachia juzi Instagram.
Filed Under:
Laana
on Monday, 19 January 2015
Post a Comment