BREAKING NEW: Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

Kwa ufupi ni kwamba aliyekuwa rais wa serikali ya wanafunz bwana Ramadhan Kirungi anashikiliwa na Polisi Kituo cha Selander Bridge baada ya kudokoa kiasi cha shilingi 31 Milioni kwa kufoji saini ya Dean of students.

Wizi huo uligunduliwa na makamu wake wa Rais ndugu Godfrey Modest (Pichani na Mheshimiwa Rashid) ambaye sasa anachukua nafasi ya Urais wa COBESO. 

Baada ya polisi kufanya upekuzi nyumbani kwa mtuhumiwa, kiasi cha milioni 16 na ushee zilikutwa ndani kwake.

Ni hayo tu kwa leo


SOURCE:JAMIIFORUM

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright VIJIMAMBOZI Published.. Blogger Templates
Back To Top