Tunda ambaye alionekana Gazetini akiwa na Stan Bakora leo amesikika kwenye U Heard..

Tunda II
Kama ulipitwa na U Heard ya leo February 17, nimekuwekea hapa inamhusu video queen ambaye hivi karibuni alionekana katika Magazeti akiwa amepiga picha wakiwa chumbani na mchekeshaji Stan Bakora.
Mwanadada huyo anayeitwa Tunda Sabasita amesema kuwa hajui chochote kuhusu picha hizo na wala hajaziona, kuhusu ishu ya kuwa na uhusiano na star wa muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone amesema hayuko tayari kuzungumzia suala hilo kwa kuwa ni mambo binafsi ambayo yameshapita.
                               
                                                    BOFYA HAPA SIKILIZA HAPA

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright VIJIMAMBOZI Published.. Blogger Templates
Back To Top